Nenda kwa yaliyomo

Cayman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Cayman Islands)
Cayman Islands
Visiwa vya Cayman
Bendera ya Visiwa vya Cayman Nembo ya Visiwa vya Cayman
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa: "He hath founded it upon the seas"
Wimbo wa taifa: God Save the Queen
Mungu abariki Malkia
Lokeshen ya Visiwa vya Cayman
Mji mkuu George Town
19°20′ N 81°24′ W
Mji mkubwa nchini George Town
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali
Malkia wa Uingereza
Gavana
Mtendaji wa Serikali
Ufalme wa kikatiba
Elizabeth II wa Uingereza
Helen Kilpatrick
Kurt Tibbetts
Kuundwa
Kutengwa na Jamaila
1962
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
260 km² (ya 206)
1.6
Idadi ya watu
 - 2005 kadirio
 - 1999 sensa
 - Msongamano wa watu
 
45,017 (ya 208)
39,020
139.5/km² (ya 63)
Fedha Cayman dollar (KYD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-5)
(UTC-5)
Intaneti TLD .ky
Kodi ya simu +1-345

-


Ramani

Visiwa vya Cayman ni funguvisiwa la Karibi na eneo la ng'ambo la Uingereza katika Bahari ya Karibi upande wa kusini wa Kuba na upande wa magharibi wa Jamaika.

Eneo lake ni visiwa vitatu vya Grand Cayman, Little Cayman na Cayman Brac, jumla km² 260.

Mji mkuu ni George Town kwenye kisiwa cha Grand Cayman.

Uchumi unategemea hasa huduma za benki na utalii.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cayman kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.