Visiwa vidogo vya Venezuela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Visiwa vidogo vya Venezuela katika bahari ya Karibi viko chini ya meya wa Caracas, mji mkuu wa nchi.

Ni vyote, isipokuwa vile vyenye wakazi wengi vinavyounda jimbo la Nueva Esparta.

Ni hivyo vifuatavyo:

Kwa jumla ni kilometa mraba 342, lakini wakazi ni 2,155 tu, wengi wakiwa wanaongea Kihispania na kufuata Ukristo katika Kanisa Katoliki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vidogo vya Venezuela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.