Kisiwa cha Saint Martin
Mandhari
Kisiwa cha Saint Martin kinapatikana katika Karibi. Kina eneo la kilometa mraba 87.
Tangu tarehe 23 Machi 1648 kimegawanyika pande mbiliː kaskazini ni sehemu ya Ufaransa, kusini ni sehemu ya Ufalme wa Nchi za Chini.
Hata hivyo, lugha inayotawala kati ya wakazi 77,741 (2009) ni Kiingereza.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Saint Martin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |