Mario Vargas Llosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mario Vargas Llosa

Jorge Mario Pedro Vargas Llosa (amezaliwa 28 Machi, 1936 mjini Arequipa) ni mwandishi kutoka nchi ya Peru. Hasa ameandika riwaya na insha. Mwaka wa 2010 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Los jefes ("Wakubwa", 1959, hadithi fupi)
  • La ciudad y los perros ("Mji na mbwa", 1963, riwaya)
  • La casa verde ("Nyumba ya kijani", 1966, riwaya)
  • La guerra del fin del mundo ("Vita ya Mwisho wa Dunia", 1981, riwaya)
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mario Vargas Llosa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.