Nenda kwa yaliyomo

Busan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Geumjeong

Busan (부산) ni mji mkubwa wa pili katika Korea ya Kusini, ukiwa na wakazi zaidi ya milioni tatu unusu.

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Busan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.