John Bardeen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
A commemorative plaque remembering Bardeen and the Theory of Superconductivity, at the University of Illinois at Urbana-Champaign campus

John Bardeen (23 Mei 190830 Januari 1991) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhandisi wa umeme na kuvumbua transista. Mwaka wa 1956, pamoja na William Shockley na Walter Brattain, na tena mwaka wa 1972, pamoja na Leon Cooper na John Schrieffer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Bardeen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.