Walter Brattain
Mandhari
Walter Houser Brattain (10 Februari 1902 – 13 Oktoba 1987) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhandisi wa umeme na kuvumbua transista. Mwaka wa 1956, pamoja na William Shockley na John Bardeen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Walter Brattain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |