Leon Cooper

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leon Cooper mwaka 2007

Leon Cooper (amezaliwa 28 Februari 1930) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya upitishaji umeme. Mwaka wa 1972, pamoja na John Bardeen na Robert Schrieffer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leon Cooper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.