Mvua ya mawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Matone ya mvua ya mawe.
Kipande kikubwa cha barafu (kipenyo chake ni sentimeta 6) kilichotokea kwa kuungana kwa matone madogo zaidi hewani

Mvua ya mawe ni aina ya mvua ambayo matone ya maji yamepita kwenye hewa baridi angani na kuganda hadi kuwa barafu.

Hali halisi inayonyesha si mawe bali vipande vya barafu.

Tone zito zaidi lililowahi kupimwa lilinyesha sehemu za Gopalganj (Bangladesh) tarehe 14 Aprili 1986, likiwa la kilogramu 1.02.

Katika Biblia[hariri | hariri chanzo]

Katika Kitabu cha Kutoka ni moja kati ya mapigo 10 yaliyowapata Wamisri wakati wa Musa.

Baadaye mvua ya mawe inatajwatajwa sehemu mbalimbali za Biblia kama ajabu la Mungu linalompatia sifa.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mvua ya mawe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.