Irtysh
Mandhari
| Mdomo | Ob |
| Nchi | Urusi, Kazakhstan na China |
| Urefu | 4,248 km |
| Mkondo | 3,000 m³/s |
| Eneo la beseni | 1,643,000 km² |
| Miji mikubwa kando lake | Omsk, Hanty-Mansiysk |
Irtysh (Kirusi: Иртыш, Kikazakhi: Ертіс, Kichina: 额尔齐斯河) ni mto wa Urusi, Kazakhstan na China. Urefu wake ni 4248 km.