Coca-Cola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Coca-Cola, au Coke, ni kinywaji kisicho na kilevi kinachotengenezwa na kampuni ya Coca-Cola. Mnamo mwaka 2013, bidhaa za Coke ziliuzwa kwenye zaidi ya nchi 200 duniani kote, na zilikua na watumiaji zaidi ya bilioni 1.8. Coca-Cola ilikua nafasi 87 katika orodha iliyotolewa na gazeti la fortune 500 ya makampuni yenye kipato kikubwa zaidi nchini Marekani.[1]

Kulingana na utafiti wa Interbrand (2020) wa brand bora ya kimataifa, Coca-Cola ilikuwa brand ya sita yenye thamani zaidi duniani.[2]

Jina la kinywaji "Coca cola" limetokana na mchanganyiko wake wa majani ya "Coca" na karanga za "kola" (chanzo cha kafeini)[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fortune 500 Companies 2018: Who Made the List (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-01-15. Iliwekwa mnamo 2023-04-04.
  2. 2020 Best Global Brands - Interbrand.
  3. Greenwood, Veronique (2016-09-23). The little-known nut that gave Coca-Cola its name (en).