Kunguni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kunguni
Kunguni
Kunguni
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)
Nusufaila: Hexapoda (Arithropodi wenye miguu sita)
(bila tabaka): Dicondylia (Wadudu walio na mandibula zenye condyle mbili)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Nusungeli: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda ya juu: Paraneoptera
Oda: Hemiptera
Haeckel, 1896
Nusuoda: Heteroptera
Familia ya juu: Cimicoidea
Familia: Cimicidae
Latreille, 1802
Jenasi: Cimex
Linnaeus, 1758
Spishi: C. lectularius
Linnaeus, 1758

Kunguni ni mdudu mdogo wa familia Cimicidae katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota (wenye mabawa). Anaishi mara nyingi katika vitanda ambamo hufyonza damu ya wanadamu kama chakula chake, hasa usiku.

Blue morpho butterfly.jpg Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kunguni kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.