Nenda kwa yaliyomo

Goti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Goti la mwanamume.

Goti ni sehemu ya mguu inayounganisha mifupa ya paja na muundi.

Ungio la goti ndilo linalobeba uzito mkubwa wa mwili wakati wa kusimama au kutembea.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Goti kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.