Muundi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mchoro wa mfupa wa muundi wa binadamu.

Muundi (pia: goko; kwa Kilatini na Kiingereza: tibia) ni mfupa wa mbele wa mguu unaoanzia kifundo hadi goti.

Gray188.png Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muundi kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.