Nenda kwa yaliyomo

Upele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Upele wa ngozi

Upele (kwa Kiingereza: rash, jina ambalo linatokana na neno la Kigiriki kwa makaa ya mawe. Jina hilo larejezea upele mweusi unaoibuka kwenye ngozi ya wale wanaogusa wanyama wenye maradhi hayo) ni aina ya ugonjwa unaojulikana kwa kupata vibimbi kwa ngozi.

Upele huambukizwa kutoka kwa wanyama hadi kwa binadamu.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upele kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.