Kwapa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kwapa la mvulana.

Kwapa (kwa Kiingereza: axilla, armpit, underarm au oxter) ni sehemu ya mwili chini ya bega ambayo katika mwili wa binadamu kwa kawaida huota nywele.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kwapa kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.