Vancouver
Jump to navigation
Jump to search
250px|
Panorama ya Vancouver | |
![]() Mahala pa Vancouver | |
Eneo | 114.67 km²
2,878.52 km² 602,231 (2005 est.) 8 2,132,824 (2004 est.) 3 4758/km² |
Mahala | 49°16' N 123°7' W
Usawa wa Bahari 167 mita |
Umeanzishwa | 1886 |
Jimbo | British Kolumbia |
Meya | Sam Sullivan |
Saa za Eneo | Pasifiki (UTC-8)
V5K to V6Z 604, 778 |
Vancouver ni mji wa pwani uliopo kwenye bandari kuu ya kusini-magharibi mwa mji wa British Kolumbia, Kanada. Huu ni mji mkubwa kabisa katika British Kolumbia na pia mji wa tatu kwa ukubwa katika Kanada, wenye ongezeko la watu milioni 2.
Asili ya Mji[hariri | hariri chanzo]
Mji wa Vancouver ulianzishwa mnamo mwaka wa 1886, na kupewa jina hili baada ya George Vancouver, aliyekuwa bahari kutoka nchini Uingereza. Aliishi kunako miaka ya 1700, na alikuwa akitumia boti kupitia maeneo haya na kugundua kama kuna mji wa Vancouver na Kisiwa cha Vancouver.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vancouver kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |