Hoki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mechi barafuni kati ya timu za Toronto Maple Leafs (weupe) na Washington Capitals (wekundu) mwaka 2017.

Hoki (kutoka Kiingereza "Hockey") ni mchezo wa timu unaotumia mpira mdogo unaotakiwa kupigwa kwa magongo maalumu.

Inaweza kuchezwa ugani au juu ya barafu.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hoki kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.