Kioo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Glass)
Kioo ni dutu imara na ngumu inayopatikana kwa umbo lolote. Kwa kawaida ni kiangavu na wazi maana yake kinaruhusu kuona yale yaliyopo nyuma yake. Inatengenezwa pia kwa rangi mbalimbali kwa mfano kwa ajili ya madirisha ya makanisa. Kioo ni dutu hobela, hakina fuwele ndani yake.
Matumizi ya kila siku ni katika chupa na madirisha ya kioo.
Kioo hutokea kiasili kama silika, inapashwa joto kali zaidi ya sentigredi 2,000. Watu walikuta kioo cha aina hiyo baada ya milipuko ya volkeno au moto asilia mkali. Walijifunza kuitengeneza kwa kuongeza viungo kadhaa vinavyopunguza kiwango cha kuyeyuka.
Picha za kioo
[hariri | hariri chanzo]-
Madirisha ya kanisa kuu la Chartres
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Corning Museum of Glass
- A comprehensive guide to art glass and crystal around the world
- Working Description Furnace & Moleria - Murano Glass
- Informative website about the glass industry
- Substances used in the Making of Colored Glass Ilihifadhiwa 30 Novemba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Almost 400 articles and images about glass (mostly art glass)
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kioo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |