Nenda kwa yaliyomo

RNA

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
mfano wa muonekano wa RNA

RNA au asilia ya ribonukleiki, ni aina ya asilia inayopatikana katika seli za viumbe hai. Ni molekuli inayobeba habari za jeni na kusaidia katika utengenezaji wa protini, ambazo ni muhimu kwa kazi na muundo wa seli.

Tofauti na DNA (asilia ya asidi deoksiribonukleiki), ambayo inachukuliwa kama stohari kuu ya habari za maumbile, RNA hufanya kazi kama "mfanyakazi" anayesafirisha habari kutoka kwa DNA hadi kiini cha seli na kusaidia katika mchakato wa kutengeneza protini[1].
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nucleotides and Nucleic Acids" (PDF). University of California, Los Angeles. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-09-23. Iliwekwa mnamo 2015-08-26. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu RNA kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.