Steven Spielberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Steven Spielberg
Steven Spielberg mnamo 2013
Steven Spielberg mnamo 2013
Jina la kuzaliwa Steven Allan Spielberg
Alizaliwa 18 Desemba 1946
Kazi yake Mwongozaji
Mtayarishaji
Miaka ya kazi 1968–hadi leo
Ndoa Amy Irving (1985–89)

Kate Capshaw (1991– )

Steven Allan Spielberg (amezaliwa tar. 18 Desemba 1946 mjini Cincinnati, Ohio) ni mwongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Alianza kujibebea umaarufu kuanza miaka ya 1980, baada kuongoza na kutaarisha mfululizo wa filamu ya Indiana Jones. Baadae akaja na mfululizo wa filamu ya Jurassic Park. Vilevile Steve amewahi kushinda tuzo mara tatu ya Academy Award, kama mwongozaji na mtayarishaji bora wa filamu. Pia Steve ni miongoni mwa waongozaji wa filamu na watengenezaji wanaosifika kwa kutumia gharamama kubwa za utengenezaji wa filamu duniani.

Filamu alizoongoza na kutayarisha[hariri | hariri chanzo]

 • Indiana Jones 4 (2007)
 • Dhil Maree Tur Teener Chale (2006)
 • Munich (film)|Munich (2005)
 • War of the Worlds (2005 film)|War of the Worlds (2005)
 • The Terminal (2004)
 • Catch Me If You Can (2002)
 • Minority Report (2002)
 • A.I.: Artificial Intelligence (2001)
 • Saving Private Ryan (1998) (Academy Award, Best Director)
 • The Lost World: Jurassic Park (1997)
 • Amistad (1997)
 • Schindler's List (1993) (imepata tuzo ya Academy Award, kama filamu bora na mwongozaji bora wa filamu)
 • Jurassic Park (film)|Jurassic Park (1993)
 • Hook (1991)
 • Indiana Jones and the Last Crusade (1989)
 • Always (1989)
 • Empire of the Sun (1987)
 • The Color Purple (1985)
 • Indiana Jones and the Temple of Doom (1984)
 • Twilight Zone: The Movie (1983) segment: Kick the Can
 • E.T. the Extra-Terrestrial (1982)
 • Raiders of the Lost Ark (1981)
 • 1941 (1979)
 • Close Encounters of the Third Kind (1977)
 • Jaws (1975)
 • The Sugarland Express (1974)

Ona pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]