Mto Mississippi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mto Mississippi
Mto Mississippi karibu mdomoni huko New Orleans
Chanzo Ziwa Itasca, Minnesota - Marekani kwa 47°15'N 95°12'W
Mdomo Ghuba ya Meksiko - Atlantiki
Nchi USA
Urefu 3,780 km
Kimo cha chanzo 450 m
Tawimito upande wa kulia Mto Ohio, mto Illinois
Tawimito upande wa kushoto Mto Missouri, Mto Arkansas
Mkondo 18,000 m³/s
Eneo la beseni 3,238,000 km²
Miji mikubwa kando lake Minneapolis, St. Paul, St. Louis, Memphis, Tennessee, Baton Rouge, LA, New Orleans

Mto Mississippi ni mto mkubwa wa Marekani ni pia kati ya mito mirefu duniani.

Chanzo chake kipo kaskazini ya Marekani kwenye ziwa Itasca katika jimbo la Minnesota. Inapita majimbo ya Minnesota, Wisconsin, Iowa, Illinois, Missouri, Kentucky, Tennessee, Arkansas, Mississippi, Louisiana na kuishia katika ghuba ya Meksiko karibu na mji wa New Orleans.

Tawimito muhimu[hariri | hariri chanzo]

Beseni ya Mississippi ni sehemu kubwa ya eneo la Marekani. Tawimito muhimu ni:

Beseni ya Mississippi