Skandinavia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Benderea za nchi za Skandinavia (Ufini, Norwei, Iceland, Uswidi na Denmark (imefunikwa)
Picha ya angani ya Skandinavia wakati wa majira ya baridi - rangi nyeupe ni theluji na barafu inayofunika nchi yote pamoja na sehemu za bahari

Skandinavia ni eneo la Ulaya ya Kazkazini. Kwa kawaida neno linataja nchi tano za Norwei, Uswidi, Denmark, Ufini na Iceland.

Kwa njia nyingine "Skandinavia" ni nchi mbili za rasi ya Skandinavia pekee yaani Norwei na Uswidi.

Lugha za Skandinavia ziko karibu sana kati yao; zote ni Kigermanik ya Kaskazini isipokuwa Kifini ambacho ni lugha ya Kiasia.

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Europa Mapa.png Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Skandinavia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.