Farao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Farao.

Farao (kwa Kimisri jumba. Katika lugha ya Kiswahili linatumika pia jina Firauni) lilikuwa jina la heshima ambalo kila mfalme wa Misri ya kale alipewa. Jina hilo lilitumika hadi Warumi walipoiteka Misri mwaka 30 KK. Kabla ya hapo, wafalme wa kale wa Misri walikuwa na majina matatu: Horus, Nesu Bety na Nebty.

Maarufu zaidi ni Ramses II kutokana na masimulizi ya Biblia kuhusu Musa.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Farao kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.