Fenesi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mafenesi mtini

Fenesi ni tunda kubwa sana linalomea mtini mfenesi na ambalo lina kokwa nyingi ndani. Ganda lake ni la rangi ya kijani na lina kama mibamiba.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fenesi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.