Budapest

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bunge la Hungaria mjini Budapest.

Budapest ni mji mkuu wa Hungaria, pia mji wake mkubwa wenye wakazi milioni 1.7.

Mto Danubi unatiririsha maji kupitia Budapest.

Mji wa leo ulianzishwa mwaka 1873 kwa kuunganisha miji mitatu ya jirani ya Buda, Obuda na Pest.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Bupapest iko mahali ambako mto Danubi umetoka katika milima ya Hungaria ya Kati na kuingia katika tambarare. Mahali pa juu mjini ni mlima Janos wenye kimo cha mita 527.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Utamaduni[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Budapest kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.