Meja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Alama kwenye sare ya meja katika jeshi la Tanzania

Meja (kwa Kiingereza: Major) ni cheo cha afisa wa jeshi kilicho chini ya Luteni Kanali na juu ya Kapteni au Nahodha katika jeshi la wanamaji.Flag of Tanzania.svg Vyeo vya kijeshi - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Jenerali * Luteni Jenerali * Meja Jenerali * Brigedia * Kanali * Luteni Kanali * Meja * Kapteni * Luteni * Luteni-usu

Afisa Mteule Daraja la Kwanza * Afisa Mteule Daraja la Pili * Sajinitaji * Sajenti * Koplo * Koplo-usu