Nenda kwa yaliyomo

Meja Jenerali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Meja Jenerali (kutoka Kiingereza: Major General) ni cheo cha afisa wa jeshi kilicho chini ya Luteni Jenerali na juu ya Brigedia au Brigedia Jenerali, kulingana na nchi. Hufanya kazi chini ya Luteni jenerali na ni mkubwa kuliko Brigedia jenerali.

Vyeo vya kijeshi - Tanzania

Jenerali * Luteni Jenerali * Meja Jenerali * Brigedia * Kanali * Luteni Kanali * Meja * Kapteni * Luteni * Luteni-usu

Afisa Mteule Daraja la Kwanza * Afisa Mteule Daraja la Pili * Sajinitaji * Sajenti * Koplo * Koplo-usu