Luteni jenerali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Luteni jenerali ni ofisa wa jeshi mwenye cheo cha juu kuliko meja jenerali na chini ya jenerali.

Luteni jenerali wa jeshi la Tanzania kwa sasa ni Venance Mabeyo.