Kidenmark
Kidenmark ni moja kati ya lugha za Kigermanik, kinazungumzwa nchini Denmark, Visiwa vya Faroe, na sehemu kadhaa za Grinlandi na Ujerumani (Kusini mwa Schleswig). Idadi ya wasemaji wa lugha hii inakadiriwa kuwa ni milioni 5,5. Nchini Grinlandi na Kisiwani Faroe, lugha hii inatumika kama ya pili kitaifa. Kwa watu wa Denmaki, au Wadeni, lugha hii inajulikana kama dansk.
Hapa kuna mifano miwili ya Kideni:
Kiswahili | Kideni |
---|---|
Salam | Hej |
Kwaheri | Farvel |
Ahsante | Tak |
Unatoka Wapi ? | Hvor kommer du fra? |
Pamoja | Med |
Mimi | Jeg |
Ndiyo | Ja |
Hapana | Nej |
am/are/is | Er |
Kiingereza | Engelsk |
Kama | Hvis |
Ninakupenda | Jeg elsker dig |
Chumba | Værelse |
Copenhagen | København |
Ankara | Regning |
Msosi | Mad |
Sawa | Okay |
Mwamvuli | Paraply |
Wapi | Hvor |
Nani | Hvem |
Ipi | Hvilken/hvilket |
Bei | Prisen |
Iko wapi | Hvor er |
Uwa. Ndege | Lufthavn |
Barabara | Vej |
Jogoo | Hane |
Kuku Jike | Kylling |
Samaki | Fisk |
Asiyekula nyama | Vegetar |
Fananisha | Sammenligne |
Treni | Tog |
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- makala za OLAC kuhusu Kidenmark Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidenmark katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/dan
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidenmark kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |