Uchawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Uchawi ni nguvu za giza zinazotumiwa na jamii nyingi duniani (zikiwemo za Afrika, Asia, Ulaya n.k.), kwa ajili ya mtu kuumiza wengine kimazingara, au kwa ajili ya kujilinda au kujifurahisha kwa kuwatesa watu wengine kwa kuwachukua msukule au kuwafanya waugue au wafe.

Mara nyingi, wachawi hudai kwamba wanaweza kuwasiliana na kushirikiana na roho kama mashetani, majini, vigwengo, vinyamkera n.k.

Kadiri ya dini mbalimbali watu wote wanaotumia nguvu hizo za giza wapo kinyume na Mungu Muumbaji wa mbingu na dunia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Icon-religion.png Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchawi kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.