John Logie Baird

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baird
John logier Baird akifanya majaribio ya runinga

John Logie Baird (13 Agosti 1888 - 14 Juni 1946) alikuwa mhandisi wa Scotland na mvumbuzi wa mfumo wa kwanza wa televisheni duniani, na wa mirija ya televisheni

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Baird alizaliwa huko Helensburgh, Dunbartonshire, Scotland. Alisoma shule ya Larchfield Academy huko Helensburgh, kisha akaenda Glasgow na Magharibi ya Scotland Technical College (ambayo baadaye ikawa Chuo Kikuu cha Strathclyde); na Chuo Kikuu cha Glasgow.

Majaribio ya televisheni[hariri | hariri chanzo]

Ingawa wavumbuzi wengi walisaidia kufanya televisheni, Baird alikuwa mtu muhimu na kuleta maendeleo mazuri. Hasa nchini Uingereza, watu wengi wanasema kuwa Baird alikuwa mtu wa kwanza kufanya picha za mubashara kutoka kwenye mwanga uliojitokeza.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Logie Baird kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.