Saint Vincent na Grenadini
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Pax et justitia (Kilatini: Amani na haki) | |||||
Wimbo wa taifa: St Vincent Land So Beautiful | |||||
Mji mkuu | Kingstown | ||||
Mji mkubwa nchini | Kingstown | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Demokrasia Nchi ya Jumuiya ya Madola Charles III wa Uingereza Susan Dougan Ralph Gonsalves | ||||
Uhuru tarehe |
27 Oktoba 1979 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
389 km² (ya 201) Kidogo sana | ||||
Idadi ya watu - [[2021]] kadirio - [[2021|2021]] sensa - Msongamano wa watu |
104,332 (ya 179) 100.455 307/km² (ya 39) | ||||
Fedha | East Caribbean dollar (XCD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .vc | ||||
Kodi ya simu | +1-784
- |
Saint Vincent na Grenadini ni nchi ya visiwani ya Antili Ndogo katika bahari ya Karibi. Iko kaskazini kwa Grenada na Trinidad na Tobago na kusini kwa Saint Lucia.
Saint Vincent ndiyo kisiwa kikubwa na Grenadini ni kundi la visiwa vidogo. Kwa jumla eneo la nchi kavu ni kilometa mraba 389.
Mji mkuu wa Kingstown, huko St. Vincent.
Watu
[hariri | hariri chanzo]Wakazi wengi wana asili ya Afrika (66%) au ni machotara (19%). 6% ni Wahindi, 4% Wazungu (hasa wenye asili ya Ureno) na 2% Waindio ambao ndio wenyeji wa Karibi.
Lugha rasmi ni Kiingereza, lakini wananchi wengi wanaongea kwa kawaida Krioli
Upande wa dini, walio wengi (88.6%) ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali, kuanzia Waanglikana na Wapentekoste, halafu Wamethodisti, Waadventista Wasabato, Wabaptisti na Wakatoliki. Wahindu ni 3.4%, Warastafari 1.8%, Baha'i 1.6, Waislamu 1.5% n.k.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint Vincent na Grenadini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |