Igor Stravinsky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Igor Stravinsky.

Igor Stravinsky (alizaliwa mjini Oranienbaum (sasa hivi inaitwa Lomonosov) tar. 17 Juni 1882 - mjini New York, 6 Aprili 1971) alikuwa miongoni mwa watunzi muhimu kabisa wa karne ya 20. Igor ni mtu wa kutoka nchini Urusi. Wakati Mapinduzi ya Urusi yanaanza yeye alihamia nchini Switzerland na kisha mjini Paris, na mwishowe, wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia ilipoanza mnamo mwaka wa 1939, akalekea tena nchini Marekani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • Stravinsky ame orodheshwa katika International Music Score Library Project


Baadhi ya rekodi zake[hariri | hariri chanzo]

  • Three Pieces for Solo Clarinet, performed by Ted Gurch, clarinet:
  • No. 1
  • No. 2
  • No. 3Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Igor Stravinsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.