Sakafu
Mandhari
Sakafu ni sehemu ya chini ya nyumba au jengo lingine lolote iliyotandazwa na kupigiliwa vizuri kwa kuchanganya mawe, mchanga na simenti. Sakafu huweza pia kujengwa kwa mbao.
Aina
[hariri | hariri chanzo]Aina ya sakafu inategemea mahitaji ambayo yanahitajika katika maisha ya mtu. Aina kuu ni:
Kulingana na mahali ndani au nje ya majengo. kuna:
- Sakafu ya ndani
- Sakafu ya nje
Kulingana na malighafi iliyotumika kutengeneza sakafu, kuna:-
- sakafu ya ardhi
- sakafu ya mbao
- sakafu ya mianzi
- sakafu ya kokoto na saruji
- sakafu ya mawe
- sakafu ya matofali
- sakafu ya vigae kama vile za kauri, kioo, kaolini, n.k.
- sakafu ya mitale
- sakafu ya tarazo
- sakafu ya PVC
- sakafu ya lami
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |