Lami

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lami asilia kutoka Bahari ya Chumvi.

Lami (kwa Kiingereza: asphalt au bitumen) ni aina ya petroli katika hali ya kiowevu au nusumango. Inapatikana katika uasilia (kama huko Trinidad na Tobago) lakini pia inaweza kutengenezwa viwandani.

Matumizi makuu (70%) ni ukamilishaji wa barabara.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lami kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.