Kokoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kokoto ya milimita 20

Kokoto ni vipande vidogovidogo vya mawe makubwa au miamba.

Kokoto hupatikana baada ya kupasuliwa kwa miamba hiyo.

Katika upasuaji wa kokoto kumegawanyika katika sehemu mbalimbali: baadhi ya njia hizo ni upasuaji wa kutumia nyundo na wengine hutumia baruti.

Kokoto zinatumika kwa wingi pamoja na sementi katika ujenzi wa barabara, nyumba n.k.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]