Utapiamlo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Utapiamlo" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Utapiamlo ni ukosefu mwilini wa kipengele kilazimikacho kulewa katika chakula. Kwa njia ya chakula mwili unapokea virutubishi vya lazima kama vile

Uhaba wa vitu hivi kwa muda fulani unasababisha utapiamlo.

Kimsingi kuna aina mbili za utapiamlo: kukosa kiwango cha kutosha cha chakula na kukosa uwiano wa virutubishi katika chakula.

Utapiamlo

  • hutokea kama mtu hana chakula cha kutosha, yaani uhaba wa chakula kwa jumla na kuwa na hali ya njaa ya kudumu
  • hutokea kama mtu anakosa sehemu muhumi za vyakula kwa mfano protini, vitamini au minerali hata kama menginevyo anakula chakula kingi
  • hutokea kama mtu anazoea kushiba vyakula bila kujali uwiano wa virutubishi ndani ya chakula.


Rod of Asclepius2.svg Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utapiamlo kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.