Majadiliano:Utapiamlo
Mandhari
Original article replaced
[hariri chanzo]The original article below was replaced as it was too short and lacked external references:
Makala hii kuhusu "Utapiamlo" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Utapiamlo ni ukosefu mwilini wa kipengele kilazimikacho kulewa katika chakula. Kwa njia ya chakula mwili unapokea virutubishi vya lazima kama vile
Uhaba wa vitu hivi kwa muda fulani unasababisha utapiamlo.
Kimsingi kuna aina mbili za utapiamlo: kukosa kiwango cha kutosha cha chakula na kukosa uwiano wa virutubishi katika chakula.
Utapiamlo
- hutokea kama mtu hana chakula cha kutosha, yaani uhaba wa chakula kwa jumla na kuwa na hali ya njaa ya kudumu
- hutokea kama mtu anakosa sehemu muhumi za vyakula kwa mfano protini, vitamini au minerali hata kama menginevyo anakula chakula kingi
- hutokea kama mtu anazoea kushiba vyakula bila kujali uwiano wa virutubishi ndani ya chakula.
ːWalau ilikuwa inaeleweka kuliko ya sasa ambayo ni mchanganyiko wa Kiswenglishǃ Mwandishi mwenyewe anatuarifu kwa Kiingerezaǃ Naona tutengue au tuunganishe. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:29, 24 Oktoba 2015 (UTC)