Kunyonya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kunyonya (kwa Kiingereza: To suck) ni namna ya kuondoa hewa au kimiminika.

Maarufu ni tendo la mtoto mchanga wa mamalia kunyonya maziwa ya mama.