Unyafuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Unyafuzi, chirwa au kwashakoo ni aina kali ya utapiamlo inayosababishwa na ukosefu wa protini ya kutosha katika chakula.

Dalali ya unyafuzi ni unpungufu wa uzito, kuchoka sana, na uvimbe wa tumbo.

Maana kwa kuzuia unyafuzi ni kula vyakula viliyo na protini, kwa mfano:

Nyama za aina mbalimbali (ya ng'ombe, kuku, mbuzi, samaki, maini, na kadhalika), maharagwe, maziwa, na mayai.