Uraibu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kituo cha huduma cha chama cha walevi wanaosaidiana kuacha uraibu wa vileo.

Uraibu (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: addiction) ni hali inayopatikana wakati roho au mwili unataka mno kuwa na hisia fulani kiasi cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli hadi kufikia tena hisia inayolengwa.

Hisia za aina hii zinaweza kupatikana kutokana

Uraibu hutazamwa kama ugonjwa au utumwa wa ndani. Katika jamii inaeleweka kwa kawaida kama uraibu wa dawa yaani dutu zinazomfanya mtu kurudia matumizi hata kama inaharibu afya, hali yake katika jamii na hata kuvunja sheria. Hapo ni hasa dawa za kulevya zinazojulikana kuwa zinaunda uraibu.

Lakini matumizi ya kiraibu ya dawa inakuja pamoja na hali ya kiroho inayofanana kabisa na hali ya uraibu wa vitu au matendo mengine.

Tovuti za nje[hariri | hariri chanzo]