La Paz
Jump to navigation
Jump to search
![]() Kitovu cha mji wa La Paz | |
Utawala | Mkoa wa La Paz |
Historia | ilieundwa 20 Oktoba 1548 kwa jina "Nuestra Señora de La Paz" |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 16°29′39"S Longitudo: 68°8′51"W |
Kimo | 3,650 m juu ya UB |
Eneo | 255 km² (rundiko la mji) |
Wakazi | - mji: 835,167 (2006) - rundiko la mji milioni 1.6 |
Msongamano wa watu | watu 6,275 kwa km² |
Simu | +591 (nchi) 2 (mji) |
Mahali | |
La Paz ni mji mkubwa katika nyanda za juu za Bolivia na makao ya serikali ba bunge. Hali halisi ni mji mkuu wa nchi hata kama katiba imetaja Sucre kama mji mkuu.
Mji uko kwenye kimo cha 3,600 m juu ya UB katika bonde la mto Chokeyapu linalohifadhi mji dhifdi ya upepo na baridi. Kando la La Paz umekua mji jirani wa El Alto kwenye tambarare ya juu mahali pasipo na hifadhi. El Alto iko 1000 m juu ya La Paz na hapa wamekalia watu maskini katika hali ya hewa ambayo ni baridi zaidi.
Mlima Illimani mwenye 6,462 m unasimama juu ya miji miwili ya jirani.
Tangu 1898 La Paz imekuwa mji mkuu hali halisi.
Picha za La Paz[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Bolivia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu La Paz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |