Mhanganungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mhanganungu
Long-beakedEchidna.jpg
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Monotremata
Familia: Tachyglossidae (Wanyama walio na mnasaba na mhanganungu)

Mhanganungu (Tachyglossidae) ni mnyama wa Australia wa oda monotremata anayefanana na ndege mdogo na nungunungu.

Crystal Clear app babelfish.png Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mhanganungu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.