Mhanganungu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Tachyglossidae)
Mhanganungu | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mhanganungu pua-ndefu magharibi (Zaglossus bruijni)
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 2, spishi 4:
|
Wahanganungu au ekidna ni wanyama wa familia Tachyglossidae katika oda Monotremata wanaofanana na kalunguyeye. Wanatokea Australia na Nyugini. Wanyama hawa pamoja na kinyamadege ni mamalia pekee wanaobaki ambao bado wanataga mayai. Lakini kinyume na wanyama wengine wanaotaga mayai, wananyonyesha watoto wao.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Tachyglossus aculeatus, Mhanganungu pua-fupi (Short-beaked echidna)
- Zaglossus attenboroughi, Mhanganungu pua-ndefu wa Sir David (Sir David's long-beaked echidna)
- Zaglossus bartoni, Mhanganungu pua-ndefu mashariki (Eastern long-beaked echidna)
- Zaglossus bruijni, Mhanganungu pua-ndefu magharibi (Western long-beaked echidna)
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mhanganungu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |