Southampton Island

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Southampton

Southampton Island ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 41,214, ila wakazi ni 718 tu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Southampton Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.