Nenda kwa yaliyomo

Funguvisiwa la Aktiki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baffin Island, kisiwa kikuu cha funguvisiwa.
Ellesmere Island na visiwa vya jirani vikiwemo Axel Heiberg (kushoto) na Greenland (kulia).

Funguvisiwa la Aktiki linapatikana katika Bahari ya Aktiki, kaskazini kwa Kanada bara. Ndio mwisho wa Amerika kuelekea ncha ya kaskazini.

Visiwa vyake 36,563 vina jumla ya kilometa mraba 1,424,500 lakini wakazi 14,000 tu kutokana na baridi.[1] Vile vikubwa zaidi ni:

JinaMahali*EneoNafasi kwa ukubwaWakazi
(2001)
DunianiKanada
Baffin IslandNUkm2 507 451 (sq mi 195 928)519,563
Victoria IslandNT, NUkm2 217 291 (sq mi 83 897)821,707
Ellesmere IslandNUkm2 196 236 (sq mi 75 767)103168
Banks IslandNTkm2 70 028 (sq mi 27 038)245114
Devon IslandNUkm2 55 247 (sq mi 21 331)2760
Axel Heiberg IslandNUkm2 43 178 (sq mi 16 671)3270
Melville IslandNT, NUkm2 42 149 (sq mi 16 274)3380
Southampton IslandNUkm2 41 214 (sq mi 15 913)349718
Prince of Wales IslandNUkm2 33 339 (sq mi 12 872)40100
Somerset IslandNUkm2 24 786 (sq mi 9 570)46120
Bathurst IslandNUkm2 16 042 (sq mi 6 194)54130
Prince Patrick IslandNTkm2 15 848 (sq mi 6 119)55140
King William IslandNUkm2 13 111 (sq mi 5 062)61151279
Ellef Ringnes IslandNUkm2 11 295 (sq mi 4 361)69160
Bylot IslandNUkm2 11 067 (sq mi 4 273)72170

* NT = Northwest Territories, NU = Nunavut

  1. "Arctic Archipelago". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-09. Iliwekwa mnamo 2018-12-05.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Funguvisiwa la Aktiki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.