Kisiwa cha Axel Heiberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Axel Heiberg)
Axel Heiberg (kushoto) kwa Ellesmere Island.

Kisiwa cha Axel Heiberg ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 43,178, ila hakina wakazi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Axel Heiberg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.