Bylot Island
Mandhari
Bylot Island ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).
Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 11,067, ila halina wakazi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bylot Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |