Northwest Territories
Jump to navigation
Jump to search
Northwest Territories (pia:Territoires du Nord-Ouest) ni eneo kubwa la Kanada upande wa kaskazini ya nchi. Yellowknife ni mji mkuu na mji mkubwa. Imepakana na Nunavut, Alberta, Saskatchewan, British Kolumbia na Yukon.
Northwest Territories lina wakazi wapatao 42,940 (2009) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 1,346,106.
Gavana wa Northwest Territories ni Anthony "Tony" W.J. Whitford
Kuna lugha rasmi 11:
- Kichipewyan
- Kikree
- Kiingereza
- Kifaransa
- Kigwich’in
- Kiinuinnaqtun
- Kiinuktitut (ᐃᓄᒃᑎᑐᑦ)
- Kiinuvialuktun
- Kislavi Kaskazini
- Kislavi Kusini
- Kitłįchǫ
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
Government of Northwest Territories Official Website
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Northwest Territories kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |